Yaliyojiri Afrika: 45 wafariki katika mafuriko mjini Nairobi
7:44 Mar 10, 2026
About this episode
Nchini kenya idadi ya waliofariki kutokana na mafuriko yaliosababishwa na mvua kubwa wiki iliopita, imeongezeka kutoka 23 na sasa idadi hiyo imefikia watu 45, kwa mujibu wa taarifa ya polisi nchini humo.